1. Ludvik Dolezal (picha juu) mwenye umri wamiaka 58 anayeishi katika mji wa Novy Bydzov, jamuhuri ya Czech inasemekana kuwa ndie mtu mchafu kuzidi wote katika bara la Ulaya.
hapa chini ni binadamu mchafu duniani. kutoka iran.Thank God zamu hii Africa haijaguswa.

2.

Amou Haji Mzee wa zaidi ya miaka 75, Raia wa Iran, ndio Binadamu anayeshikiria rekodi ya kuwa Mwanaume mchafu zaidi duniani.


3. Pichani chini ni Raphael Tenthani, mwakilishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) nchini Malawi.
Aina yake ya mavazi na uvaaji wake umezua gumzo katika mitandao jamii. Ralph amezoeleka kuonekana katika mavazi ya 'hovyo hovyo', yaliyolowa, machakavu na yaliyotoboka huku viatu vikiwa vimeachama, nywele 'vululu vululu' na sura ya 'kilevi'.
Mwandishi huyu wa habari hujihudhurisha alivyo katika kazi zake mbalimbali za kuhojiana na kurusha habari bila kujali ustaarabu wa eneo husika hata ikiwa ni kwenye zulia jekundu.Wengi wanasema mkosoaji huyu mkubwa wa Serikalizote zilizoongozwa na Marais ndugu, Bingu (marehemu) na Peter Mutharika, huenda anafanya hivyo ili kutimiza masharti ya 'mganga' aliyemsaidia kupata ujasiri,akili nyingi na kazi katika shirika kubwa la utangazaji la BBC. Wanadai ikiwa atakiuka masharti hayo, huenda akapoteza kazi yake na kuwa 'juha'. Vyovyote viwavyo, Raphael "Ralph" Tenthani bado ni mwakilishi wa BBC nchini