Haya ndio majibu ya Zitto kwa Profesa KIKWETE:

Zitto kaanza kwa kusema hivi:
Our
Leaders Must move away from culture of denials, cover-ups and proxies
and deal honesty, sincerely and transparently with Tanzanians to regain
their trust and confidence.
Tanzanians are no fools, they can see, they can hear, they can talk
among themselves, they can think and they can act in the interest of
their country.
[
largely borrowed from General Obasanjo's letter to President Jonathan
of Nigeria ]. Found the words very relevant at the current circumstances
in Tanzania
Kisha akaendelea kwa kusema hivi:
Nimemsikiliza Mhe Rais. Ninachoweza
kusema ni kwamba maazimio yale hayakuwa ya Zitto Kabwe, PAC, CAG au
PCCB. Yalikuwa ni maamuzi ya Bunge zima. Bunge la vyama vyote kikiwamo
chama cha Rais Kikwete yaani CCM. Sisi kama Bunge tulitoa maazimio yale kwa maridhiano, uzalendo na bila kutaka kumuonea mtu yeyote.
Suala hili sasa naliacha kwa wananchi. Bunge limefanya kazi yake na
Serikali ambayo ndiyo tulikuwa tunasubiri maamuzi yake imeamua hivyo.
Wananchi wataamua wenyewe.
https://www.facebook.com/zittokabwe?fref=nf
JF
إرسال تعليق