Picha:Rais Jakaya Kikwete Atunukiwa Digrii ya Uzamivu ya Heshima (PHD Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Nelson Mandela
Hisia0
Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimtunuku
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya uzamivu ya Heshima (PHD Honoris
Causa) wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho iiyofanyika katika chuo
hicho mjini Arusha jana.
إرسال تعليق