Kupitia
Moja ya akaunti yake katika Mitandao ya Kijamii Diamond Platnumz
ameweza Kupost Cover ya Nyimbo mpya ya Davido inayotarajiwa kutoka hivi
karibuni na Kuandika Ujumbe wa kuwataka watanzania na watu wote kwa
ujumla kuweza kumpa sapoti ya nguvu msanii DAVIDO a.k.a OBO kwa Mzigo
huo Mpya. Hapo awali siku za Hivi karibuni Ililipotiwa kuwa Marafiki
hawa wawili kwa sasa Hawaivi tena kwa sababu ya Vijimambo vya hapa na
pale vilivyojitokeza.......
SASA HII IMEKUJA KUWASTUA WATU NA KUWAWEKA DILEMA.
Hii ndio Post yenyewe...
إرسال تعليق