New Video: Davido ft Uhuru + Dj Buckz- The Sound (Official Video)
Hisia0
Staa wa Nigeria, Davido ametoa video mpya ya wimbo aliowashirikisha
Uhuru pamoja na Dj Buckz uitwao ‘The Sound’. Video imeongozwa na
director Sesan wa Nigeria na kushutiwa Dubai. Hii ndio single ya kwanza
kutoka kwa Davido kwa mwaka huu 2015.
إرسال تعليق