LIPUMBA AFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU LEO

 Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikishwa kujibu shitaka la kuhamasisha wanachama wa chama chake kufanya jinai.
 Prof Ibrahim Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama hicho kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
 Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo.
Mwanahabari kutoka DW akimhoji mmoja wa wanachama wa CUF

Post a Comment

أحدث أقدم