Video:- Hizi Ndio Dakika 10 za Diamond Platnumz Burundi, Mashabiki Walivyodata Nae!

Ameichukua bendera ya Tanzania na kuipa heshima kubwa kila alikokwenda, kuanzia kwenye mashindano ya tuzo mpaka kwenye show anazopiga.
AyoTV inakusogezea hizi dakika zake kumi akiwa Burundi.


Post a Comment

أحدث أقدم