Alikiba afunguka juu ya tuhuma za kuhusika na mauaji ya kanumba., Anasema hajahusika kumtorosha Lulu,
ALI KIBA ON ISHU YA KUHOJIWA NA POLISI.mp3 - Hulk Share - Music Distribution Platform![]() |
| Ali Kiba |
Kutokana rumors zilizoenea mtaani na kwenye baadhi ya Vyombo vya habari kuwa msanii Ali Kiba amehojiwa na Polisi baada ya Kushukiwa kuwa ni yeye ndiye aliye enda kumtorosha Mwanadada Lulu Nyumbani kwa Kanumba (Siku ile ambayo inadaiwa kuwa Lulu alisababisha Kifo cha Steven Kanumba kwa kumsukuma, na Mwigizaji huyo kujigonga Kisogoni na Kufa papo hapo)
Baada ya tukio hilo Lulu alipotea nyumbani kwa Kanumba, basi ndiyo rumorz zikaenea Ali Kiba ndiye aliyemfata na Gari Lulu maeneo ya Sinza vatican na kufanikiwa kuondoka nae eneo la tukio.
-- Sasa Ali Kiba anasema siku hiyo ya Tukio yeye alikua ufukweni Coco Beach anakula bata, ndiyo akasikia watu wanaongea kwamba Kanumba amekufa, ndipo yeye akaamua kumvutia wire Lulu na kumuuliza ukweli wa taarifa hizo, lakini Lulu alimjibu siyo kweli ila Steven Kanumba anaumwa, basi baada ya Muda akapata simu kutoka kwa Mama mtoto wake flani hivi anayeishi maeneo ya Sinza, akamwambia Kanumba amekufa na mwili wake ameuona ukiingizwa Mochwari.
Kuhusu ishu ya kutokuwepo Dar asubuhi ya siku hiyo Ali Kiba amejibu kuwa Alfajiri ya siku hiyo alisafiri kikazi na kuelekea Malindi Mombasa/Kenya na taarifa kuwa aliwakimbia polisi si kweli.
Sikiliza alichoongea Ali Kiba ndani ya Bongo flava ya Clouds fm:

Clich hapa chini kusikiliza alichosema

إرسال تعليق