SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA KATIBU MKUU KIONGOZI OFISINI KWAKE DODOMA LEO


SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA KATIBU MKUU KIONGOZI OFISINI KWAKE DODOMA LEO

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika picha ya pomoja na katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue mara baada ya kumaliza mazungumzo naye Ofisini kwake Dodoma leo. Balozi Sefua alimtembelea Spika wa Bunge Ofisi kwake mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na katibu Mkuu kiongozi,  Balozi Ombeni, Sefue Ofisini kwake Dodoma leo. Balozi Sefua alimtembelea Spika wa Bunge Ofisi kwake mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

Post a Comment

أحدث أقدم