PRETTY NDIYE ALIYE TWAA TAJI LA REDDS MISS UKONGA 2012
Redds
Miss Ukonga 2012, Elizabeth Pretty akipinga mkono p[amoja na mshindi wa
pili Mary Chizi (kulia) na mshindi wa tatu Stellah Maurice. Shindano
hilo lilifanyika Mei 5, 2012 katika ukumbi wa Wenge Garden ulipo Ukonga
Mombasa, jijini Dar es Salaam.
vimwana wa Redds Miss Ukonga wakicheza ngoma ya ufunguzi.
warembo wa Redds Miss Ukonga 2012 wakipita jukwaani na vazi la ufukweni
Washiriki wa Redds Miss Ukonga wakipita jukwaani na bvazi la jioni
Warembo
wa Redds Miss Ukonga 2012 ambao wamepata tiketi ya kuingia Redds Miss
Ilala 2012 wakiwa katika Picha ya Pamoja na mshindi wa Kitongoji hicho
katika shindano lao lililofanyika Mei 5 2012.
Shindano
la Miss Ukonga 2012 lilidhaminiwa na Redds Primium Cold, Clouds FM,
Father Kidevu Blog, Kiota Jungle, V Mask Logistic, Mambya Insurance,
Mamushka Pub & Catering, Hill tech Resort, Mr Mabaga, G Obonyo na
Excel Beaut Salon.
Picha kwa hisani ya Father Kidevu
Picha kwa hisani ya Father Kidevu
إرسال تعليق