Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt Donald Kaberuka akutana na Waziri Janet Mbene

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt Donald Kaberuka akutana na Waziri Janet Mbene

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt Donald Kaberuka(kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene (kulia) jana Namanga mkoani Arusha mara baada ya kuwasili kwa ajili ya Mkutano wa Mwaka wa AFDB unaofanyika mjini Arusha. Mkutano huo unatarajiwa kufunguliwa na Rais Jakaya Mrisho kikwete tarehe 31.05.2012.
 Picha na Hazina

Post a Comment

أحدث أقدم