Sherehe na Kongamano la Waandishi wa habari Jijini Mbeya linaendelea sasa ni kupokea vyeti

Sherehe na Kongamano la Waandishi wa habari Jijini Mbeya linaendelea sasa ni kupokea vyeti

MKUU WA MKOA WA MBEYA MH.ABASI KANDORO AKIKABIDHIWA TUZO KUTOKA KWA MWENYE KITI WA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA KWA USHIRIKIANO WAKE NA WANA HABARI MKOA WA MBEYA.

MKUU WA MKOA WA MBEYA AKIMKABIDHI  TUZO YA  UANDISHI BORA WA HABARI NDUGU FELIX MWAKYEMBE MKOA WA MBEYA NA TAIFA KWA UJUMLA 

PASTA KALULUNGA WA BLOG YA KALULUNGA AKIPOKEA TUZO MUDA HUU

MWANDISHI WA HABARI ESTER MACHA AKIPOKEA TUZO YAKE MUDA HUU 

MWANDISHI WA HABARI KAMANGA NAE AKIPOKEA TUZO YAKE MUDA HUU.. KAMANGA PIA ANAMIRIKI BLOG YA KAMANGA NA MATUKIO

RASHIDI MKWINDA WA GAZETI LA MAJIRA NAE ANAPOKEA TUZO YAKE MUDA HUU

PICHA YA PAMOJA WAANDISHI WA HABARI NA MKUU WA MKOA MUDA HUU
Chanzo:- Mbeya Yetu

Post a Comment

أحدث أقدم