SHEREHE ZA SIMBA ZILIVYOFANA DAR LIVE LEO

SHEREHE ZA SIMBA ZILIVYOFANA DAR LIVE LEO, 


Mashabiki

Mzee Gurumo mwenye fulana nyekundu, Romna Mng'ande kulia na Katundu na Asha Kigundula kushoto kabisa

Saleh Ally na Hassan Daalal

Uhuru Suleiman na mwanawe, Samir kulia, kushoto kocha wa makipa, James Kisaka

Mashabiki

Isha Mashauzu kabla ya kupanda jukwaani

Juma Mbizo na Asha Kigundula



Makamu Mwenyekiti wa Simba, Kaburu kulia na mgeni rasmi, Mh Amos Makalla

Akiimba shairi la Simba

Wakali Dancers wakifanya vitu

Shabiki wa Simba Magoma Moto akitoa burudani ya bure

Dua kwa ajili ya Mafisango

Machaku akiitoa Medali yake kwa ajili ya Mafisango

Mh Makalla akimkabidhi Kaseja tuzo mbalimbali

Kaseja akimlilia Mafisango

Kaseja akibembelezwa wakati analia kwa ajili ya Mafisango


Shampeni

Juma Nyosso kushoto, Kaseja katikati, Machaku kulia na Kombe lao
Kwa habari zaidi napicha ingia hapa:- http://bongostaz.blogspot.com/
Www.bongostaz.blogsport.com

Post a Comment

أحدث أقدم