Costal Union Yasajili Kinda la U-21

Afisa Habari wa Timu ya  Coasta Union, Edo Kumwembe akimkabidhi jezi mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Atupele Green ambaye ni mshambuliaji namba moja wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 21. Kumwembe amesema mshambuliaji huyo ni lulu kwa timu ya Coastal kwani ni mpachika mabao aliye na  mwili mkubwa, nguvu, kasi, stamina

Post a Comment

Previous Post Next Post