Afisa
Habari wa Timu ya Coasta Union, Edo Kumwembe akimkabidhi jezi
mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Atupele Green ambaye ni mshambuliaji
namba moja wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 21. Kumwembe
amesema mshambuliaji huyo ni lulu kwa timu ya Coastal kwani ni mpachika
mabao aliye na mwili mkubwa, nguvu, kasi, stamina

إرسال تعليق