Mwenyekiti
wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Haruna Lipumba(kulia)
akiongea na waandishi wa habari jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Bunge
mjini Dodoma kuhusu mapungufu aliyoyaona katika Bajeti ya Serikali ya
2012/13 . Mwingine ni Naibu Mkurugenzi wa Mipango , Uchaguzi na Bunge wa
Chama cha Wananchi(CUF) Shaweji Mketo(kushoto).
إرسال تعليق