MAELFU WAMUAGA SAITOTI, ODINGA ATAKA CHANZO CHA KIFO CHAKE KICHUNGUZWE.

Na.Mwandishi wetu
Wakati maelfu ya wakenya na wageni kutoka mataifa mbalimbali wakiaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani nchini Kenya Prof. George Saitoti, Makamu wa raisi nchini humo Raila Odinga ameitaka kamati ya Kalpana Rawal kuweka wazi sababu za kuanguka kwa Helcopta iliyo muua Waziri Saitoti na makamu wake.
“vifo vya aina hii vimetokea sana bila majibu ya kuaminika kutolewa, ni lazima tujitakase kwa wananchi wa Kenya kwa kufanya uchunguzi wa uhakika na kutoa majibu yanayoridhisha” alisema Odinga
Nae rais wa Kenya Mwai kibaki alieleza kusikitishwa sana na kifo cha mtendaji huyo wa juu kabisa katika Serikali yake.
 

Post a Comment

Previous Post Next Post