KELVIN YONDAN ATUA YANGA KWA MILIONI 30

KELVIN YONDAN ATUA YANGA KWA MILIONI 30

Beki wa Simba, Kelvin Patrick Yondan amesaini Yanga kwa dau la Milioni 30,000 na atakuwa akilipwa mshahara wa Sh 800,00 kwa mwezi. Nakala ya fomu ya mkataba wa Yondan aliosaini Yanga. isome hapo chini. Chanzo:- http://bongostaz.blogspot.com/ 
Eneo la malipo ya Yondan katika fomu hiyo

Sehemu ya mkataba wa Yondan na Yanga 

Post a Comment

أحدث أقدم