MAN UNITED YAIKOMOA CHELSEA USAJILI WA BEKI LA KIBRZIL

KLABU ya Manchester United inajipanga kumuongezea mkataba mpya Rafael da Silva, mwenye umri wa miaka 21, ili kuwakata maini wapinzani wao katika Ligi Kuu England, Chelsea wanaommezea mate beki huyo Mbrazil.

Share on Google Plus

About Hisia

-
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment