MANENO 29 ALIYOONGEA JOHN MNYIKA NA KUSABABISHA KUTOLEWA BUNGENI HII LEO

John Mnyika akisindikizwa na askari wa bunge. (picha kutoka issamichuzi.blogspot.com)
Mbunge wa Ubungo John Mnyika kwa ruhusa ya Chadema ametolewa kwenye bunge leo kutokana na kukataa kufuta kauli aliyoitoa iliyosema ‘tumefika hapa tulipo kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa sababu ya wabunge na bunge, na tumefika hapa tulipo kwa sababu ya upuuzi wa CCM’
Sauti zote kuhusu hii ishu ya bunge leo ninazo tayari, utazisikia kwenye AMPLIFAYA leo kuanzia saa moja usiku kwenye list ya habari kumi za siku on CLOUDS FM.. pia unaweza kusikiliza online kupitia cloudsfm.com

Post a Comment

Previous Post Next Post