Matukio ya wiki ya mazingira mjini Moshi
Afisa kutoka idara ya muungano ya Ofisi ya Makamu wa Rais Bi martha
Mashuki, akitoa elimu ya muungano kwa Bw. Mohamed Ngwalima mkurugenzi
wa wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa katika maonyesho ya wiki ya mazingira
kitaifa Mkoani Kilimanjaro, kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira
duniani ambayo kilele chake ni tarehe 5June ambapo mgeni rasmi
anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani Mh Dtk Jakaya
Mrisho Kikwete (Picha na Ali Meja wa Ofisi ya makamu wa Rais)
Bw. Emmanuel Marija , Mhamasishaji kutoka taasisi isiyo ya serikali
inayojishughulisha na masuala ya utunzaji wa mazingira,akitoa maelezo
kwa wananchi waliotembelea banda la ofisi ya makamu wa rais katika
maonyesho ya wiki ya mazingira kitaifa Mkoani Kilimanjaro, kuelekea
maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ambayo kilele chake ni tarehe
5June ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano
wa Tanzani Mh Dtk Jakaya Mrisho Kikwete (Picha na Ali Meja wa Ofisi ya
makamu wa Rais)
إرسال تعليق