MREMBO LISA JENSEN ANYAKUA TAJI LA REDDS MISS WORLD TANZANIA USIKU HUU, KUWAKILISHA TANZANIA MISS WORLD
![]() |
| Miss Tanzania Salha Israel akimvisha taji mrembo Lisa Jensen mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo usiku huu |
![]() |
| Warembo wa Redds Miss World Tanzania wakicheza shoo ya ufunguzi |
![]() |
| Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga akijichanganya na wageni waalikwa katika shindano hilo. |
![]() |
| Baadhi ya Majaji wa shindano hilo wakijadili jambo kutoka kulia ni Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania Ramesh Shah, Miriam Ikoa na Prashant Patel Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania. Chanzo:- http://www.fullshangweblog.com |
![]() |
| Warembo hao wakipta jukwaani na vazi la jioni |
![]() |
| Wakionyesha Shoo yao ya ufunguzi. |
![]() |
| Mrembo Hamisa Hassan akipita na vazi la ubunifu |
![]() |
| M rembo Pendo Laizer akipita na vazi la ubunifu |
![]() |
| Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania Ramesh Shah akitangaza warembo walioingia katika tano bora |











إرسال تعليق