UFARANSA, ENGLAND ZATOKA SARE, WACHEZAJI WA MAN CITY WANGARA EUROPA CUP.

UFARANSA, ENGLAND ZATOSHANA NGUVU, MABAO YOTE YAFUNGWA NA NYOTA WA MAN CITY

  • Wachezaji wa England wakimpongeza Lescott wa pili kushoto baada ya kuifungia Three Lions bao la kuongoza dakika ya 30 dhidi ya Ufaransa huu katika mechi ya Euro 2012. Timu hizo zimetoka 1-1 baada ya Samir Nasri kuisawazishia Ufaransa dakika ya 39. Lescott na Nasri wote ni wachezaji wa manchester City ya England. Mechi kati ya Ukraine na Sweden inafuatia hivi karibuni.

Lescott anafunga

Nasri anafunga

Lescott anafunga

Post a Comment

أحدث أقدم