BREAKING NEWS:- MELI ILIYOTOKA DAR-ES-SALAAM LEO HII SAA SITA MCHANA KUELEKEA ZANZIBAR IMEZAMA.
"NIKWELI HABARI HIZO ZIPO, NA MELI HIYO ILIONDOKA DAR SAA SITA MCHANA
IKIWA NA WATU 250, IMEZAMA ENEO LA CHUMBI SERENA HOTEL BAADA YA KUPIGWA
NA WIMBI KALI LILILOTOKANA NA KUCHAFUKA KWA BAHARI AMESEMA MENEJA MASOKO
WA KAMPUNI HIYO SADICK MOHAMED.

إرسال تعليق