ERIC SHIGONGO AJIBU TUHUMA ZA JOSE CHAMELEON
Baada ya Chameleon kuandamana na mashabiki wake mpaka ubalozi wa Tanzania nchini Uganda, kwa madai ya kurudishiwa passport yake iliyokuwa imeshikiliwa na mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo, mkurugenzi huyo nae ameongea kwa upande wake kuhusu sakata hilo.Habari kwa hisani ya:- http://djfetty.blogspot.com msikilize hapo chini
إرسال تعليق