TANGAZO LA KAZI YA USAMBAZI WA VITABU

TANGAZO LA KAZI YA USAMBAZI WA VITABU

Mikono business consult ni washauriwa mambo ya biashara na ukocha wabiashara,Tuna Mradimpya wa vitabu vya elimu ya ujasiriamali,tunatangaza nafasi ya uwakala

wa usambazaji vitabu vyetu kutoka katika mikoa yote ya Tanzania Bara na visiwani.KITABU CHETU KINAITWA SIRI ZA MAFANIKIO

SIFA ZA WAOMBAJI
1. Elimukidato cha nne,sitanakuendelea
2. Awe anawezakuwasiliana kwa ufasaha kwa lughazakiswahilinakiingereza
3. Umrikuanziamiaka 18 hadi 50.
4. Awe maridadinamwenyeuwezowakufanyakazi kwa uaminifumkubwana kwa kujisimamia
5. Uzoefuwamasualayausambazajiwavitabuama bidhaa yoyotelitakuwanijambolitakalomuongezeanafasiyakupatakazikatikamradihuu.

MAJUKUMU YA MAWAKALA:
Kuchukua vitabu kutoka kwetu na kuvisambaza kwa wateja wetu.


MALIPO KWA MAWAKALA
Mawakala watalipwa"commision"nzuri.

IDADI YA MAWAKALA WANAOHITAJIKA:
Idadi ya mawakala wanaohitajika ni:Daresalaam(10),Mwanza(4),Musoma(2),Arusha(2),Moshi(2),Zanzibari(2) na wakala mmojammoja kutoka mikoa mingine ambayo

haijaorodheshwa.

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 25 JULY 2012
Mawakala watakaochaguliwa watatangazwa rasmi tarehe 26 july,Kwa mawakala waliopo Daresalaam wanaweza kuleta maombiyao katika ofisi zetu zilizopo Airport

daresalaam/karakatakaribuna KBV bar.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI:
Tuma barua yako ya maombi ya uwakala kwa njia ya barua pepe,kwenda:mikonoconsult@gmail.com,deogratiuskilawe@yahoo.com. Mwisho wakupokea maombi ni tarehe 4

Agust 2012.Kwa maelezozaidiwasiliananasi kwa simu namba:0717109362, au 0687129469
WANAFUNZI WA VYUO VIKUU TUWAPA KIPAOMBELE ZAIDI

Au Tembeleablogu yetu:WWW.ACHIEVERSMAGAZINE.BLOGSPOT.COM

Post a Comment

أحدث أقدم