NAHODHA wa Arsenal, Robin van Persie ameamua kutosaini mkataba
mpya na klabu yake hiyo na kwa sababu hiyo anaweza kufuata mshahara bwa
pauni 220,000 kwa wiki katika klabu bingwa England, Manchester City.
KLABU ya Manchester United nayo imeonyesha nia ya kumsajili mfungaji
bora wa Ligi Kuu ya England, Robin Van Persie, Mholanzi mwenye umri wa
miaka 28 na wana matumaini makubwa watamdondoshea Old Trafford.
Post a Comment