WAHAMIAJI haramu 42 kutoka nchi za Ethiopia na Somalia, wamekamatwa na
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanajaro, wakiwa wamefichwa kwenye nyumba
ambayo mmiliki wake hajatambuliwa katika eneo la Kilotoloni wilayani
Himo.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema wahamiaji hao walikamatwa na juzi jioni katika eneo la Kilototoni, baada ya kupata taarifa za siri kutoka kwa raia wema.
Alisema katika kundi la wahamiaji haramu 39, ni raia wa Ethiopia na wakati watatu ni raia wa Somalia.
Aliwataja wahamiaji hao kuwa, ni Abahamu Lamango,Dauji Elius,Terepes Lombebo, Eliso Ashe, Wolde Abuye, Muluneh Warko, Endele Mekengo, germelo Adero, Adamsu Yoikobo wote (25)
Wengine ni Ahamdin Mohamed,Tamraji anor,Fanus Krew ,Dive Man,Taganye Phawuls,Tamama Mekeyo, Masale Cufomo wote wakiwa na umri wa miaka 24. Wengine ni Taregna Mengehah,Dembalo Adrea,Tarefa Abulee,Biranus Yohanis ,Melese Gemeda, Denekel Kebeda, Mulunhe Danabo, Abyenh Landebi wote wenye umri wa miaka 22.
Abaine Lomore, Mesifin Mundido,Rebeba kofiso,Maratu Kabiro, Kasahun Acio ,Fayhisa Lete,Budeta Beketa wote wakiwa na umri wa miaka 23 na kuongeza kuwa Bayonse Gernagano,Abeda Livanso ,Seleman Himranm,wote wakiwa na umri wa miaka 26.
Aliwataja wengine kuwa, ni Mamushi De Sita (28) na Keboda Mudamo,Yohanis Wasaro(30), Kadri Amiri (18) wote raia wa Ethiopia na kuwataja raia wa Somalia kuwa ni pmoja na Mohamed Hasani (24), Mohamed Alii (28) na Raud hasani (26) .
Hata hivyo Kamanda Boaz hakuweza kueleza bayana wahamiaji hao waliingia lini nchini, licha ya kuweka wazi kuwa kundi hilo liliingia nchini kwa kutumia njia za panya kupitia mpaka wa Holili, kwa kushirikiana na baadhi ya raia wasiokuwa waaminifu

إرسال تعليق