WANANCHI WILAYA YA KILWA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUHESABIWA TAREHE 26 AUG, 2012 NA PIA KUSHIRIKI KATIKA KUTOA MAONI YA KATIBA
WITO HUO UMETOLEWA NA MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZIRA ALIPOKUWA AKIHUTUBIA KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI
KINACHOENDELEA KATIKA UKUMBI WA JUMBA LA MAENDELEO CHINI YA UENYEKITI WA MHE FARIDA KIKOLEKA-MAKAMU MWENYEKITI WA ALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA.
إرسال تعليق