Meneja
uhusiano Mwandamizi wa Benki ya Posta NovesMoses (kulia) akitoa
ufafanuzi kwa wananchi juu ya huduma za Benki hiyopopote(TPB Popote)
ambapo mteja anaweza kutoa na kuweka pesa zake popote alipo. Meneja huyo
alitoa maelezo hayo leo jijini Dar es salaam kwenye banda laWizara ya
Fedha wakati wa maonesho ya 36 ya biashara ya kimataifa ya Dar essalaam
yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere.
Afisa
Mafao wa Mfuko wa Akiba wa wafanyakaziserikalini (GEPF) Deogratius Urio
(kulia) akisikiliza maswali mbalimbali kutoka kwa Askari Polisi jana
jijini Dar essalaam waliotaka kujua faida za kujiunga na Mfuko wakati
walipotembelea bandala Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 36 ya
biashara ya kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika Viwanja vya
Mwalimu J.K.Nyerere.
Waziri
mkuu wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo chaUsimamizi wa Fedha(IFM)
Sarungi Daniel (kulia) akimwelekeza mwananchi juu yataratibu ya kujiunga
cha IMF katika kozi mbalimbali jana jijini Dar es salaamwakati
mwananchi huyo alipotembelea banda la Wizara ya Fedha katika Maonyeshoya
36 ya kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea.
Afisa
Habari na Mawasiliano wa Mfuko wa Changamotoza Melenia Tanzania (MCAT)
Josephat Kinyunyu (kushoto) akitoa maelezo kwawananchi leo jijini Dar es
salaam kuhusu miradi mbalimbali inayosimamiwa namfuko huo wakati
wananchi hao walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya
36 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam yanayoendeleakatika
Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.
Afisa
Manunuzi kutoka Dhamana ya UwekezajiTanzania(UTT) Hamis Kiimbi (kulia)
akimwelekeza mwananchi juu ya taratibu ya kuwekezakatika mfuko huu jana
jijini Dar es salaam wakati mwananchi huyo alipotembeleabanda la Wizara
ya Fedha katika Maonyesho ya 36 ya kimataifa ya Dar es
salaamyanayoendelea.
Baadhi
ya wananchi waliotembelea banda laWizara ya Fedha kwa upande wa Chuo
cha Mipango wakiandika maoni yao jana jijiniDar es salaam mara baada ya
kutembelea banda hilo katika maonyesho ya 36 yaKimataifa ya Dar es
salaam yanayoendelea.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Wizara ya fedha wakitoahuduma jana jijini Dar es
salaam kwa wananchi wanaotembelea maonyesho ya 36 yaKimaifa ya biashara
ya Dar es salaam.
إرسال تعليق