YANGA YAPIGWA 2 - BILA DHIDI YA ATLETICO YA BURUNDI

Mechi ya Kundi kati ya Yanga na Atletico ya Burundi, imemalizika kwa timu ya Atletico ya Burundi kuibuka kidedea kwa kuitandika Dar Young Afrika 2 - 0. Katika dakika 90 za mchezo, Atletico walitawala mchezo, wakionekana dhahiri kuizidi Yanga.  Shambulizi la maana walilofanya Yanga kipindi cha kwanza ni hili pichani chini, dakika ya 42 walipiga kona tatu mfululizo na katika sekeseke, walimuumiza kipa wa Atletico.(Picha kwa hisani ya;-
http://bongostaz.blogspot.com/




Post a Comment

أحدث أقدم