Picha hizo ambazo zilisambaa kwa kasi Jumapili Novemba 6 mwaka
jana, zilimuonesha mrembo huyo akiwa amelala kitandani katika staili
mbalimbali huku kuanzia shingoni kwenda chini akiwa hana nguo.
Katika picha moja mlimbwende huyo aliweka kiganja cha mkono wenye kidole chenye pete ya uchumba aliyokuwa amevishwa na mpenzi wake wakipindi kile (DIAMOND ).
Leo
hii imekuwa ni kawaida kabisa kwa wasanii wetu hapa
nchini,Wamegeuza mitandao ya kijamii kuwa sehemu ya kuuzia nyeti
zao ambazo naweza sema hazina soko.
Nasema hazina soko kwa maana kwamba KIBAYA SIKU ZOTE CHAJITEMBEZA........Wangekuwa ni wazuri wasingekubali kutuonyesha uchafu wao.
Kwani ni nani asiyevijua viungo vya mwanamke? nani asiyevijua viungo vya mwanaume?.......Acheni kuiga
إرسال تعليق