MAHARAMIA WA KAZI ZA WASANII WAZIDI KUKAMATWA

MAHARAMIA WA KAZI ZA WASANII WAZIDI KUKAMATWA


 Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki zenye thamani ya sh.milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam leo, wakati wa operesheni ya kuwakata wezi wa kazi za wasanii inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi
 Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki zenye thamani ya sh.milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala.
 Msama akionyesha mashine zinazotumika katika kurudufu kazi za wasanii.Picha na Habari Mseto Blog.

Post a Comment

أحدث أقدم