HomeSOKA BERBATOV ATUA FULHAM KUFUFUA MAKALI Hisia August 31, 2012 0 Dimitar Berbatov akiwa na jezi namba 9 ya Fulham leo Dimitar Berbatov leo amekamilisha uhamisho wake wa pauni Milioni 5 kwenda Fulham, akisaini mkataba wa miaka miwili kufanya kazi Craven Cottage akitokea Man United.
Post a Comment