HII NDIO SABABU YA KITAAOLOJIA KUSOGEZWA MBELE MPAKA MWAKANI

HII NDIO SABABU YA KITAAOLOJIA KUSOGEZWA MBELE MPAKA MWAKANI


The long awated album, kutoka kwa the hiphop Mc anaewakilisha Rock City Mwanza, Fid Q, yenye jina KITAOLOGIA imeahirishwa kuingia sokoni kama ilivyokuwa imepangwa kutoka august 13 mwaka huu, na kusogezwa mbele mpaka mwakani.
nikiongea na Fid Q mwenyewe amesema sababu za kusogeza mbele album hiyo ni kusubiri sheria ya haki za kazi za wasanii kupitishwa na bunge.
" ndio nimeisogeza mbele mpaka mwakani kwasababu nasubiri sheria ya haki za kazi za wasanii ipitishwe, yaani ikipita leo kesho naachia album.
Fid pia amezungumzia makuzi ya uandishi aliyoyaonyesha kwenye Kitaolojia
Kumsikiliza akivyofunguka Bofya hapa djfetty
cheki na mashairi yake hapa

SIHITAJI MARAFIKI
Machizi sikusoma nao, tulikutana tu mtaani/ udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi wa ukubwani X2/
haijalishi ulikua na wangapi bali wangapi uko nao..washkaji ambao... kosa lako lao wakati hauna mafao/wanaokufikiria wewe muda ambao/ wenzao walionao wanafikiria wengine ndo wanao/now
kupata washkaji ukiwa na pesa... ni rahisi/
kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi mie sikufichi sihitaji urafiki na usupastaa/ukihit ndo unang'aa.. upishwe useat kwenye bar,upewe beat na Jr../ kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi fid ni underground/sikuhizi mabinti wanaomiss ni walionidiss mie sio mdau/
wanakubali mie ni mkali wanataka kuijua Mmwanza
ninayoitangaza nikiwa safari kama habari za kwanza/
U-N-I-T na prof Ludi walionifunza kukaza...
kwetu mbali.. sijui lini nitarudi? (C) Lokua kanza/
sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea
Verse 2;

na usupastaa huwa ni feki.. utakung'arisha ukiwa na Market/
utakupatia senti,utapita juu ya red carpet/
utageuka young & restless, utakupa wanawake/utakupa mafake brethrenz.. kisha utaenda zake/kwahiyo power is not permanent.. huwa ipo kwa muda tu/respect ur own conglomorete... fikiri kikubwa tu/masaa hayarudi nyuma kama muda wa kufuturu walioukataa utumwa wanastuka hawana uhuru/
wanazusha najiskia.. so im my own best friend/
sikia fidq anamsifia fareed ni bandidu sio Yes man/
naweza nikakata ringi kiasi cha kutopay attention, lakini sio tajiri wakuafford kuua true friendship/
tuweke siasa kando sababu kichwa kinanigonga/na hizi falsafa double double ajabu sio kinywa cha mjomba/
sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea

VERSE 3
rafiki wa kweli yukoje.. ni mkimya au anayechonga/yule aliyekupa jina?au pengine anayekuponda? anayezuia usidondoke au anayesubiria kukuokota?/au ni yule ambaye ukimuudhi anakutusi kabla hajaondoka?/ hakuna adui mbaya ka rafiki yako mwenyewe ambaye hajui.. ka yupo nawe.. au yupo kinyume na wewe/bora adui.. kama hachachawi utaenda muomba akuelewe/
ka buibui.. naweka tandu mtaenda kando mzingue?/
kwani machizi wenyewe wako wapi ambao wanastahiki niwape vyeo/ inabidi tu uwaache wakuwatch kwenye kideo/unakula nao happy leo.. kesho wanamtaka mkeo/urafiki sitaki.. hauletagi maendeleo../
nilitamani kuwa mjamaa niwe genge kama nature/
wachache niliowafanya wakang'aa wanayaweka maisha yangu in danger/
sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea

Post a Comment

أحدث أقدم