HUU NDIO MKOKO WA SHARO MILIONEA WENYE THAMANI YA MILIONI 15
Nani kasema kazi yakuchekesha hailipi? inalipa na ina soko kubwa sana.
mkali wa comed na kuimba tanzania sharo milionea amenunua gari lenye
thaman ya shilingi milioni 15 za kitanzania aina ya Oper. kama
nyumba kaipata chata ya kitambulisho chake ya kuchekesha cha oooooh
maaamaa!
إرسال تعليق