JINSI YA KUAMUA KUZAA MTOTO WA KIKE AU WA KIUME.... SOMO HILI LITASAIDIA KUPUNGUZA UGOMVI


SWALI  LA  MSOMAJI:
Naomba ushauri wa kujua jinsi ya kuamua kupata mtoto wa kiume au wa kike. Cha muhimu ni kujua wakati gani nikikutana na mke wangu atakuwa na mimba ya mtoto wa kiume au wa kike?

Asanteni. 


JAWABU  NA USHAURI:
 Mimba inaingia siku ya 12 hadi 15 toka siku ya kwanza ya hedhi.

Mfano mwanamke anaingia kwenye hedhi tarehe 3 may basi huyu atashika mimba tarehe 15may hadi tarehe 18may maana tarehe 15may ni siku yake ya 12. 

Sasa basi ukitaka mtoto wa kike basi tembea na mkeo tarehe 14may siku ya 11 ambayo kwa kawaida sio siku ya mzunguko ya kupata mimba. 

Mbegu za watoto wa kike zinachelewa kufa ndani ya uke.

Mbegu zinazoleta mtoto wa kike hufa ndani ya uke baada ya masaa 24 lakini mbegu zinazoleta mtoto wa kiume hufa baada ya masaa 4 na zina nguvu kwelikweli maana ukipiga bao moja linatosha kuzalisha .baada ya  muda huo bao hilo  halizalishi maana nguvu yake inakuwa imeisha. 

Kwa kifupi kuna vitu vingi vinavyoungana kwa pamoja .Kuna kunawa baada ya tendo.

Mwanamke asinawe kabisa maji ya baridi maana ataathiri mwendo wa mbegu hizo. 

Akilazimika kunawa basi yawe maji ya moto. Jaribu njia hii utafanikiwa kumpata mtoto unaemtaka.

Post a Comment

Previous Post Next Post