SWALI LA MSOMAJI:
Naomba
ushauri wa kujua jinsi ya kuamua kupata mtoto wa kiume au wa kike.
Cha muhimu ni kujua wakati gani nikikutana na mke wangu atakuwa na
mimba ya mtoto wa kiume au wa kike?
Asanteni.
Asanteni.
JAWABU NA USHAURI:
Mimba inaingia siku ya 12 hadi 15 toka siku ya kwanza ya hedhi.
Mfano
mwanamke anaingia kwenye hedhi tarehe 3 may basi huyu atashika mimba
tarehe 15may hadi tarehe 18may maana tarehe 15may ni siku yake ya 12.
Sasa
basi ukitaka mtoto wa kike basi tembea na mkeo tarehe 14may siku ya 11
ambayo kwa kawaida sio siku ya mzunguko ya kupata mimba.
Mbegu za watoto wa kike zinachelewa kufa ndani ya uke.
Mbegu
zinazoleta mtoto wa kike hufa ndani ya uke baada ya masaa 24 lakini
mbegu zinazoleta mtoto wa kiume hufa baada ya masaa 4 na zina nguvu
kwelikweli maana ukipiga bao moja linatosha kuzalisha .baada ya muda
huo bao hilo halizalishi maana nguvu yake inakuwa imeisha.
Kwa kifupi kuna vitu vingi vinavyoungana kwa pamoja .Kuna kunawa baada ya tendo.
Mwanamke asinawe kabisa maji ya baridi maana ataathiri mwendo wa mbegu hizo.
Akilazimika kunawa basi yawe maji ya moto. Jaribu njia hii utafanikiwa kumpata mtoto unaemtaka.
إرسال تعليق