MAANDALIZI YA SERENGETI FIESTA 2012, BABRA, DJ FETY NA MBWIGA WAPENDEZESHA USIKU WA CLOUDS FM 88.1 MWANZA

MAANDALIZI YA SERENGETI FIESTA 2012, BABRA, DJ FETY NA MBWIGA WAPENDEZESHA USIKU WA CLOUDS FM 88.1 MWANZA.  Picha Na:- http://djfetty.blogspot.com
Ni ming'aro ile Bhaaaaaaas!! pande hizi za Mwanza - Mwanza kutoka kushoto waliosimama ni Mie, Mbwiga wa Mbwiguke na Emmanuel likuda Producer wa Jahazi na Serengeti Fiesta Mwanza na aliyeketi ni Babra Hassan.

Smile.com zetu ndani ya Studio za Clouds Fm Mwanza. Kutoka kushoto ni Peter Fabian, Emmanuel Likuda, Mbwiga na Babra.

Bigu-bigu-bigula Style...(pikipiki)

Raha jimwagie.....

Mbwiga wa Mbwiguke akitimbwilika ndani Clouds 88.1 Mwanza kuelekea Serengeti Fiesta 2012 itakayofanyika ndani ya dimba la CCM Kirumba siku ya Jumapili ya tarehe 2/09/2012 kwa chati akinukuliwa na producer wa Jahazi na Serengeti Fiesta Mwanza Emmanuel Likuda. 

Hapa kilichokuwa kikiongelewa mie sisemi....hahahhaaaaaaaa mbwiga ni noumer kwa maneno

Post a Comment

Previous Post Next Post