KLABU ya Manchester City imemuambia mshambuliaji wake, Emmanuel Adebayor
inataka kumuuza moja kwa moja, Tottenham anakocheza kwa mkopo ili
kujivuan mzigo wake wa kumlipa.
KLABU ya Manchester City pia inataka kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 24, Muargentina, Gonzalo Higuain.
إرسال تعليق