Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo
ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wakati akizindua
awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa
Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilekea kukagua mabanda ya maonesho wakati wa
uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III)
Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na
Mahusiano), Mhe Steven Wassira.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi
wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa
Jamhuri mjini Dodoma leo. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne
Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga wakati akikagua mabanda ya maonesho wakati
wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF
III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif IddI.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi tuzo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa
TASAF Dr Servacius Likwelile wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Iddi kitabu cha uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa
Maendeleo ya Jamii (TASAF III) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo
Agosti 15, 2012. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue kwa niaba ya Rais wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa
wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii
(TASAF III) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012.
Pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha awamu ya tatu ya Mfuko wa
Maendeleo ya Jamii (TASAF III) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
leo Agosti 15, 2012.
Post a Comment