Mratibu wa Shindano la Redds Miss Ilala 2012, Gadner G Habash (wapili
kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Nyumbani
Lounge wakati akiwatambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya
Redds Miss Ilala ambalo washindi wataingia moja kwa moja kwenye
fainali ya Redds Miss Tanzania. Kulia ni mmoja wa waratibu wa shindano
hili Juma Mabakila. Cylivia Mashuda na Neema Mbula ambao ni walimu wa
warembo hao. Jumla ya warembo kumi na tano watashiriki kwenye
kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika 07/09/2012 kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge. |
إرسال تعليق