VAN PERSIE SASA 'ANANUKA VIBAYA' EMIRATES
Sasa mashabiki wa Arsenal hawataki kuiona picha yoyote ya Robin van Persie katika klabu yao. Tazama picha hii kwenye gari, imeandikiwa ujumbe; Ondoa Van Persie, huku kulia mashabiki wa timu hiyo wakiwa wamebeba sanamu la mchezaji huyo. |
إرسال تعليق