
Washiriki wa Redd's miss kanda ya mashariki wakifanya mazoezi ya kucheza show

Mratibu wa shindano la Redd's Miss kanda ya Mashariki kutoka kampuni ya NEPA PRODUCTION & EVENTS ALEXANDRA NIKITASI akizungumza na warembo leo.

Warembo wakiwa katika Picha ya pamoja
إرسال تعليق