SBL YATAJIRISHA DODOMA NA VUMBUA HAZINA CHINI YA VIZIBO
Mshindi
wa gari wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo Bw. Amin Joseph
Maro ambaye ni mkazi wa Dodoma ambae ni mtaalamu wa mambo ya
bomba,akiwasha mchuma wake tayari kuaondoka nalo huku shamra shamra za
hapa na zikiwa zimetawala kutoka kwa ndugu na jamaa waliofika kwenye
tukio hilo adhimu kabisa.
Mshindi
wa gari wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo Bw. Amin Joseph
Maro akiingia ndani ya gari yake aina ya Ford Figo baada ya kukabidhiwa
na Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweries Bw. Ephraim Mafuru,
hafla hiyo imefanyika jioni ya leo kwenye bustani ya Nyerere Square
mjini Dodoma. Wanaoshuhudia katikati yao ni Baba yake Mzee Augustine
Tengia, wengine wanaoshuhudia tukio hilo ni Allan Chonjo, meneja wa bia
ya Serengeti Premium Lager sambamba na Wanahabari .
Mkurugenzi
wa Masoko wa Serengeti Breweries Bw. Ephraim Mafuru akimkabidhi kadi
ya gari mshindi wa gari wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo
Bw. Amin Joseph Maro kwenye hafla fupi iliyofanyika jioni ya leo kwenye
bustani ya Nyerere Square mjini Dodoma. Wanaoshuhudia katikati yao ni
Baba yake Mzee Augustine Tengia wakiwemo Wanahabari ndugu jamaa na
marafiki.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Serengeti Breweries Bw. Ephraim Mafuru akimkabidhi funguo
ya gari lake mshindi wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo Bw.
Amin Joseph Maro kwenye hafla fupi iliyofanyika jioni ya leo kwenye
bustani ya Nyerere Square mjini Dodoma. Wanaoshuhudia katikati yao ni
Baba yake Mzee Augustine Tengia wakiwemo Wanahabari ndugu jamaa na
marafiki.
Meneja
wa kinywaji cha Serengeti Premium Lager Bwa. Allan Chonjo akifafanua
jambo mbele ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali na wadau wengine
kutoka sehemu mbalimbali waliofika kulishuhudia tukio la kukabidhiwa kwa
gari aina ya Ford Figo kwa mshindi wa shindano la Vumbua Hazina chini
ya Kizibo Bw. Amin Joseph Maro kwenye hafla fupi iliyofanyika jioni ya
leo ndani ya bustani ya Nyerere Square mjini Dodoma.
Mshindi
wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo Bw. Amin Joseph Maro
akifurahia zawadi hiyo na Mama yake Mzazi ambaye pia alikuwepo
kulishuhudia tukio hilo lililofanyika jioni ya leo kwenye bustani ya
Nyerere Square mjini Dodoma.
Mshindi
wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo Bw. Amin Joseph Maro
akizungumza mbele ya Wanahabari waliofika kulishuhudia tukio hilo jioni
ya leo kwenye bustani ya Nyerere Square mjini Dodoma,kulia kwake ni
Baba yake Mzazi Mzee Augustine Tengia.
Baba
yake Mzazi Mzee Augustine Tengia akizungumzia furaha alionayo mbele ya
Wanahabari mara baada ya mtoto wake kujishindia gari mpya kabisa aina ya
Ford Figo kupitia promosheni ya Vumbua Hazina chini ya Kizibo
iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti.
إرسال تعليق