Picha na Bin Zubery.
SIMBA SC imetinga Fainali
ya michuano ya BankABC Sup8R baada ya kuifunga Azam FC, mabao 2-1 kwenye Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam na Jumamosi itamenyana na Mtibwa Sugar, ambayo katika
mechi ya kwanza imeifunga Jamhuri ya Pemba mabao 5-1, uwanja huo huo.
إرسال تعليق