WACHEZAJI WA YANGA WANAOTARAJIWA KUCHEZA MSIMU HUU NI HAWA HAPA
Young
Africans imewasilisha jumla ya majina ya wachezaji 28 kwa shirikisho
la soka nchini TFF, kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu nchini
inayotazamiwa kuanza mapema septemba mosi.
Katibu mkuu wa Young Africans Mwesigwa Selestine amesema wamepeleka majina ya wachezaji wote 28 kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu, na hii ni kutokana na benchi la ufundi kuridhia kuwatumia wachezaji wote.
Aidha katika usajili huo uliowasilishwa leo, umeambatana na usajili wa wachezaji wa timu ya vijana U-20 ambapo majina ya wachezaji mahiri wa timu ya Taifa Saimon Msuva na Frank Domayo.
Usajili kamili kwa timu ya wakubwa ni kama ifuatavyo:
Walinda Mlango:
Yaw Berko, Ally Mustafa 'Barthez' na Said Mohamed
Walinzi wa pemebeni:
Shadrack Nsajigwa, Godfrey Taita, Juma Abdul, Oscar Joshua, David Luhende na Stephano Mwasika
Walinzi wa kati:
Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondan, Mbuyu Twite, Ibrahim Job na Ladislaus Mbogo
Viungo wa ulinzi:
Athuman Idd 'Chuji', Juma Seif Kijiko na Salum Telela
Viungo wa pembeni:
Nizar Khalfani, Shamte Ally, Idrisa Rashid na Omega Seme
Viungo washambuliaji :
Haruna Niyonzima, Rashid Gumbo na Nurdin Bakari
Washambuliaji:
Said Bhanaunzi, Hamis Kiiza 'Diego', Didier Kavambagu na Jeryson Tegete
Majina hayo yanakamilisha jumla ya 28 ya wachezaji kwa timu ya wakubwa.
Kikosi cha U-20 kina jumla ya majina 22 ambao ni:
Walinda Mlango : Geofrey Nyalusi na Yusuf Abdul
Walinzi: Said Manduta, Zuberi Juma, Said Mashaka, Benson Michael, Issa Ngao, Rashid Said
Viungo: Frank Domayo, Omary Nasry, Clever Charles, Mwinyi Bakari, Mpenda Abdallah
Washambuliaji wa pembeni: Abdulahman Ally, Hussein Moshi, Abdallah Salum, Rehani Kibingu
Washambuliaji: Saimon Msuva, George Banda, Notikely Masasi, Suleiman Ussi, Kassim Jongo
NB : Frank Domayo & Saimon Msuva usajili wao umepelekwa katika usajili wa U-20 lakini wataitumikia timu ya wakubwa

إرسال تعليق