SIMBA YAWEKA HADHARANI MKATABA WAKE NA TWITE
Huu ndio mkataba uliowekwa hadharani leo na viongozi wa klabu ya Simba
kati yao na mchezaji Mbuyi Twite kutoka klabu ya APR ya Rwanda. Beki
huyo, ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, pia inadaiwa
kuwa amesajiliwa na Yanga. Click mara mbili kila page ili uweze kusoma
maelezo ya mkataba huu
إرسال تعليق