STEWART AAGWA RASMI AZAM LEO.

STEWART AAGWA RASMI AZAM LEO.

Kocha mkuu wa AZAM FC Muingereza STEWART HALL ameangwa leo katika uwanja wa Chamanzi huku akiacha vilio vikubwa kutoka kwa baadhi ya wachezaji,maofisa na makocha wapya. Wachezaji walioangua kilio ni pamoja na Sure Boy, Redondo na wengine, Wakati Jemedari Said(Ofisa) na Vivek Nagul(Kocha) Pia nao waliangua kilio. Stewart ameacha kumbukumbu ya mataji na medani kama kutwaa kombe la Mapinduzi Januari, kushika nafasi ya pili Ligi Kuu,Urafiki na Kagame

Post a Comment

أحدث أقدم