DEL PIERO ATUA RASMI AUSTRALIA

Aussie rules: Alessandro Del Piero has signed a two-year deal with Sydney FC
Del Piero akikabidhiwa jezi namba 10 ya Sydney FC

Alessandro Del Piero amekamilisha uhamisho wake kwenda Sydney FC ya Australia, licha ya awali kuwepo tetesi angetua Liverpool.

Mshambuliaji huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 37 aliyewika Juventus amethibitisha uhamisho huo leo mjini Turin katika Mkutano na Waandishi wa Habari.
"Nina furaha kusaini Sydney na kwa miaka miwili ijayo nitacheza nao," aliwaambia Waandishi wa Habari Del Piero leo.

Post a Comment

Previous Post Next Post